bible.software › Numbers › Numbers 3 › Numbers 3:27
Numbers 3:27
Kwa Kohathi kulikuwepo koo za Waamramu, Waishari, Wahebroni na Wauzieli; hizi ndizo zilizokuwa koo za Wakohathi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of Kohath was the family of the Amramites, and the family of the Izeharites, and the family of the Hebronites, and the family of the Uzzielites: these are the families of the Kohathites.
In Context
26mapazia ya ua, pazia katika ingilio la ua unaozunguka Maskani na madhabahu, pamoja na kamba, na kila kinachohusika kwa matumizi yake.
28Hesabu ya waume wote wenye mwezi mmoja au zaidi ilikuwa watu 8,600. Wakohathi waliwajibika kutunza mahali patakatifu.
Read all of Numbers 3
Cross References
Numbers 4:2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao.
1 Chronicles 23:12Wana wa Kohathi walikuwa wanne: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
Ezekiel 40:45Akaniambia, “Chumba kinachoelekea upande wa kusini ni kwa ajili ya makuhani ambao wana usimamizi wa hekaluni,
This Verse In Other Editions
Study Numbers 3:27