Numbers 3:36
Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37na pia nguzo za ua unaozunguka pamoja na vitako vyake, vigingi vya hema na kamba zake.
Cross References
Exodus 26:15“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
Exodus 26:37Tengeneza kulabu za dhahabu kwa ajili ya hilo pazia, na nguzo tano za mshita zilizofunikwa kwa dhahabu. Kisha mimina vitako vitano vya shaba kwa ajili yake.
Exodus 35:11Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;
Exodus 36:20Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
Exodus 38:17Vitako vya nguzo vilikuwa vya shaba. Kulabu na tepe juu ya nguzo zilikuwa za fedha, na ncha zake zilifunikwa kwa fedha. Kwa hiyo nguzo zote za ua zilikuwa na tepe za fedha.
Numbers 4:29“Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao.