bible.software › Numbers › Numbers 3 › Numbers 3:48
Numbers 3:48
Mpe Aroni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt give the money, wherewith the odd number of them is to be redeemed, unto Aaron and to his sons.
In Context
47kusanya shekeli tano + 3:47 Shekeli tano ni sawa na gramu 55. kwa kila mmoja, kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. + 3:47 Gera 20 ni sawa na gramu 11.
49Kwa hiyo Mose akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.
Read all of Numbers 3
This Verse In Other Editions
Study Numbers 3:48