bible.software › Numbers › Numbers 3 › Numbers 3:49
Numbers 3:49
Kwa hiyo Mose akakusanya fedha za ukombozi kutoka kwa wale ambao hesabu yao ilizidi wale waliokombolewa na Walawi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses took the redemption money of them that were over and above them that were redeemed by the Levites:
In Context
48Mpe Aroni na wanawe hizo fedha kwa ajili ya ukombozi wa idadi ya Waisraeli waliozidi.”
50Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365 + 3:50 Shekeli 1,365 ni sawa na kilo 15.5. kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu.
Read all of Numbers 3
This Verse In Other Editions
Study Numbers 3:49