Numbers 31:3
Kwa hiyo Mose akawaambia watu, “Waandaeni baadhi ya wanaume wenu waende vitani kupigana na Wamidiani ili wawalipize kisasi cha Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.”
4Peleka wanaume 1,000 vitani kutoka kila kabila la Israeli.”
Cross References
Exodus 17:16Mose akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha Bwana. Bwana atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.”
Numbers 25:11“Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani Aroni, amegeuza hasira yangu mbali na Waisraeli, kwa sababu alikuwa na wivu kama nilio nao kwa heshima yangu miongoni mwao, hata kwamba kwa wivu wangu sikuwaangamiza.
Judges 5:2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, 2 wakati watu wanapojitoa 2 kwa hiari yao wenyewe: 2 mhimidini Bwana! 1
2 Kings 9:7Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa Bwana iliyomwagwa na Yezebeli.
Jeremiah 46:10Lakini ile siku ni ya Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 siku ya kulipiza kisasi, 2 kisasi juu ya adui zake. 1 Upanga utakula hata utakapotosheka, 2 hadi utakapozima kiu yake kwa damu. 1 Kwa maana Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, atatoa dhabihu 2 kwenye nchi ya kaskazini, kando ya Mto Frati. 1