The Bible Software
bible.softwareJudgesJudges 5 › Judges 5:2

Judges 5:2

“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, 2 wakati watu wanapojitoa 2 kwa hiari yao wenyewe: 2 mhimidini Bwana! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Praise ye the LORD for the avenging of Israel, when the people willingly offered themselves.

In Context

1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1

3“Sikieni hili, enyi wafalme! 2 Sikilizeni, enyi watawala! 1 Nitamwimbia Bwana, nitaimba; 2 kwa wimbo nitamhimidi Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1

Read all of Judges 5

Cross References

Deuteronomy 33:21Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote 2 kwa ajili yake mwenyewe; 1 fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa 2 kwa ajili yake. 1 Viongozi wa watu walipokusanyika, 2 alitimiza haki ya mapenzi ya Bwana, 2 na hukumu zake kuhusu Israeli.”

2 Samuel 22:47“ Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! 2 Atukuzwe Mungu, 2 Mwamba, Mwokozi wangu! 1

Nehemiah 11:2Watu waliwasifu wale wote waliojitolea kuishi Yerusalemu.

Psalms 48:11Mlima Sayuni unashangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako. 1

Psalms 97:8Sayuni husikia na kushangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 1

Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Judges 5:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Judges 5:1Judges 5Judges 5:3 →