Numbers 31:40
Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the persons were sixteen thousand; of which the LORD’S tribute was thirty and two persons.
In Context
39punda 30,500 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa punda 61; 1
41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.