The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 31 › Numbers 31:41

Numbers 31:41

Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Moses gave the tribute, which was the LORD’S heave offering, unto Eleazar the priest, as the LORD commanded Moses.

In Context

40Watu 16,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa watu 32.

42Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,

Read all of Numbers 31

Cross References

Numbers 5:9Matoleo yote matakatifu ya Waisraeli wanayoleta kwa kuhani yatakuwa yake.

Numbers 18:19Chochote kitakachotengwa kutoka sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea Bwana, ninakupa wewe, wanao na binti zako kama fungu lenu la kawaida. Ni Agano la milele la chumvi mbele za Bwana kwako na watoto wako.”

Matthew 10:10Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake.

Galatians 6:6Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.

Hebrews 7:4Tazama jinsi alivyokuwa mkuu: Hata Abrahamu, baba yetu mkuu, alimpa sehemu ya kumi ya nyara zake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 31:41

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 31:40Numbers 31Numbers 31:42 →