Numbers 31:42
Ile nusu iliyokuwa ya Waisraeli, ambayo Mose aliitenga kutoka kwa ile ya watu waliokwenda vitani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of the children of Israel’s half, which Moses divided from the men that warred,
In Context
41Mose alimpa kuhani Eleazari ushuru kama sehemu ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
43nusu iliyokuwa ya jumuiya, ilikuwa kondoo 337,500,