bible.software › Numbers › Numbers 31 › Numbers 31:51
Numbers 31:51
Mose na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses and Eleazar the priest took the gold of them, even all wrought jewels.
In Context
50Kwa hiyo tumeleta kama sadaka kwa Bwana vyombo vya dhahabu kila mmoja wetu alivyopata, yaani vikuku, bangili, pete za muhuri, vipuli na mikufu, ili kufanya upatanisho kwa ajili yetu mbele za Bwana.”
52Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750 + 31:52 Shekeli 16,750 ni sawa na kilo 200.
Read all of Numbers 31
Cross References
Numbers 7:2Ndipo viongozi wa Israeli, wale wakuu wa jamaa waliokuwa viongozi wa kabila wasimamizi wa wale waliohesabiwa, wakatoa sadaka.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 31:51