Numbers 31:52
Dhahabu yote kutoka kwa wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia ambavyo Mose na kuhani Eleazari walimletea Bwana kama zawadi ilikuwa shekeli 16,750 + 31:52 Shekeli 16,750 ni sawa na kilo 200.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
51Mose na kuhani Eleazari wakapokea kutoka kwao dhahabu, yaani vyombo vyote vilivyonakshiwa.
53Kila askari alikuwa amejichukulia nyara zake binafsi.