Numbers 32:37
Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Reuben built Heshbon, and Elealeh, and Kirjathaim,
In Context
Cross References
Numbers 21:27Ndiyo sababu watunga mashairi husema: 1 “Njoo Heshboni na ujengwe tena; 2 mji wa Sihoni na ufanywe upya. 1
Isaiah 15:4Heshboni na Eleale wanalia, 2 sauti zao zinasikika hadi Yahazi. 1 Kwa hiyo watu wenye silaha wa Moabu wanapiga kelele, 2 nayo mioyo yao imezimia. 1