Numbers 32:42
Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Nobah went and took Kenath, and the villages thereof, and called it Nobah, after his own name.
In Context
41Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Cross References
Judges 8:11Basi Gideoni akakwea kwa njia ya wasafiri mashariki ya Noba na Yogbeha na kulishambulia jeshi ambalo halikushuku lolote.
Psalms 49:11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, 2 makao yao vizazi vyote; 1 ingawa walikuwa na mashamba 2 na kuyaita kwa majina yao. 1