Numbers 32:41
Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jair the son of Manasseh went and took the small towns thereof, and called them Havoth-jair.
In Context
40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.
42Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
Cross References
Deuteronomy 3:14Yairi, mzao wa kabila la Manase, alichukua eneo lote la nchi ya Argobu hadi kufikia mpaka wa Wageshuri na Wamaaka, ukaitwa kwa jina lake; kwa hiyo mpaka leo hii Bashani inaitwa Hawoth-Yairi.)
Judges 10:4Alikuwa na wana thelathini waliopanda punda thelathini. Nao walikuwa na miji thelathini iliyoko Gileadi, inayoitwa Hawoth-Yairi mpaka leo.
1 Chronicles 2:21Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.