Numbers 33:16
Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from the desert of Sinai, and pitched at Kibroth-hattaavah.
In Context
15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. 1
17Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi. 1
Cross References
Numbers 10:12Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani.
Numbers 11:4Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule!
Deuteronomy 1:6Bwana Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.