Numbers 33:36
Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from Ezion-gaber, and pitched in the wilderness of Zin, which is Kadesh.
In Context
35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 1
37Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Cross References
Numbers 13:21Hivyo wakapanda na kuipeleleza nchi kutoka Jangwa la Sini hadi Rehobu, kuelekea Lebo-Hamathi.
Numbers 20:1Katika mwezi wa kwanza jumuiya yote ya Kiisraeli ilifika kwenye Jangwa la Sini, nao wakakaa Kadeshi. Miriamu akafa huko na kuzikwa.
Deuteronomy 32:51Hii ni kwa sababu ninyi wawili mlivunja uaminifu nami mbele ya Waisraeli kwenye maji ya Meriba-Kadeshi katika Jangwa la Sini, na kwa sababu hamkuuinua utakatifu wangu miongoni mwa Waisraeli.