Numbers 33:37
Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from Kadesh, and pitched in mount Hor, in the edge of the land of Edom.
In Context
36Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini. 1
Cross References
Numbers 20:22Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori.