Numbers 33:4
waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa Bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi. 1
Cross References
Exodus 12:12“Usiku huo huo nitapita katika nchi yote ya Misri na kumuua kila mzaliwa wa kwanza, wa wanadamu na wa wanyama, nami nitaihukumu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Bwana.
Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”
Psalms 105:36Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, 2 matunda ya kwanza ya ujana wao wote. 1
Zephaniah 2:11Bwana atakuwa wa kuhofisha kwao 2 atakapoangamiza miungu yote ya nchi. 1 Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, 2 kila moja katika nchi yake. 1 Dhidi Ya Kushi 1