Numbers 33:3
Waisraeli walisafiri kutoka Ramesesi katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa kwanza, siku iliyofuata Pasaka. Walitembea kwa ujasiri wazi mbele ya Wamisri wote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 1:11Basi Wamisri wakaweka wasimamizi wa kuwasimamia na kuwatesa Waisraeli kwa kazi ngumu, nao wakajenga miji ya Pithomu na Ramesesi ya kuweka akiba ya Farao.
Exodus 12:37Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.
Exodus 14:8Bwana akaufanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, kwa hiyo akawafuatia Waisraeli, waliokuwa wakiondoka Misri kwa ujasiri.
Isaiah 52:12Lakini hamtaondoka kwa haraka, 2 wala hamtakwenda kwa kukimbia; 1 kwa maana Bwana atatangulia mbele yenu, 2 Mungu wa Israeli atakuwa mlinzi nyuma yenu. 1 Mateso Na Utukufu Wa Mtumishi 1