Numbers 4:1
Bwana akawaambia Mose na Aroni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses and unto Aaron, saying,
In Context
2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Genesis 46:11Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Numbers 1:51Wakati wowote Maskani inapohamishwa, Walawi wataifungua, na wakati wowote maskani inapotakiwa kusimamishwa, Walawi watafanya kazi hiyo. Mtu yeyote mwingine ambaye atasogea karibu nayo atauawa.