Genesis 46:11
Wana wa Lawi ni: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Levi; Gershon, Kohath, and Merari.
In Context
10Wana wa Simeoni ni: 2 Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 1
Cross References
Genesis 29:34Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi. + 29:34 Lawi maana yake Nimeunganishwa, yaani na mume wangu.
Exodus 6:14Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: 1 Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni. 1
Numbers 3:17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
Numbers 8:1Bwana akamwambia Mose,
Deuteronomy 33:8Kuhusu Lawi alisema: 1 “Thumimu yako na Urimu + 33:8 Thumimu na Urimu maana yake Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha. yako ulimpa, 2 mtu yule uliyemfadhili. 1 Ulimjaribu huko Masa 2 na kushindana naye 2 kwenye maji ya Meriba. 1
1 Chronicles 2:11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,