Numbers 4:33
Huu ndio utumishi wa koo za Merari kama watakavyofanya kazi katika Hema la Kukutania, chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Aroni.” 1 Kuhesabiwa Kwa Koo Za Walawi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Exodus 38:21Ifuatayo ni orodha ya vifaa vilivyotumika kwa ajili ya ujenzi wa maskani, maskani ya Ushuhuda, ambavyo vilitayarishwa na Walawi kama alivyoagiza Mose, chini ya usimamizi wa Ithamari, mwana wa kuhani Aroni.
Numbers 7:8na pia aliwapa Wamerari magari manne ya kukokotwa na maksai wanane, kama kazi yao ilivyohitaji. Wote walikuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani, Aroni.
Isaiah 3:6Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake 2 katika nyumba ya baba yake na kusema, 2 “Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu, 2 tawala lundo hili la magofu!” 1