The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:6

Isaiah 3:6

Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake 2 katika nyumba ya baba yake na kusema, 2 “Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu, 2 tawala lundo hili la magofu!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When a man shall take hold of his brother of the house of his father, saying, Thou hast clothing, be thou our ruler, and let this ruin be under thy hand:

In Context

5Watu wataoneana wao kwa wao: 2 mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake. 1 Kijana atainuka dhidi ya mzee, 2 mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 1

7Lakini siku hiyo atapiga kelele akisema, 2 “Sina uponyaji. 1 Sina chakula wala mavazi katika nyumba yangu, 2 msinifanye niwe kiongozi wa watu.” 1

Read all of Isaiah 3

Cross References

Judges 11:6Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.”

John 6:15Yesu akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake. 1 Yesu Atembea Juu Ya Maji (Mathayo 14:22-33; Marko 6:45-52)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:5Isaiah 3Isaiah 3:7 →