Numbers 4:41
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Gershoni ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.
42Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Numbers 4:49Kwa amri ya Bwana kupitia Mose, kila mmoja aligawiwa kazi yake na kuambiwa kitu cha kubeba. Hivyo ndivyo walivyohesabiwa kama Bwana alivyomwamuru Mose.