bible.software › Numbers › Numbers 4 › Numbers 4:40
Numbers 4:40
waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even those that were numbered of them, throughout their families, by the house of their fathers, were two thousand and six hundred and thirty.
In Context
39Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,
41Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Gershoni ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana.
Read all of Numbers 4
Cross References
Numbers 3:32Kiongozi mkuu wa Walawi alikuwa Eleazari mwana wa kuhani, Aroni. Aliwekwa juu ya wale waliowajibika kutunza mahali patakatifu.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 4:40