bible.software › Numbers › Numbers 5 › Numbers 5:14
Numbers 5:14
nazo hisia za wivu zikamjia mumewe na kumshuku mkewe, naye mke yule ni najisi, au mumewe ana wivu na akamshuku ingawa si najisi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the spirit of jealousy come upon him, and he be jealous of his wife, and she be defiled: or if the spirit of jealousy come upon him, and he be jealous of his wife, and she be not defiled:
In Context
13kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine, tendo hili likafichika kwa mumewe na unajisi wake usigundulike (kwa kuwa hakuna ushahidi dhidi yake, naye hakukamatwa katika tendo hilo),
15basi atampeleka mkewe kwa kuhani. Huyo mume itampasa apeleke pia sadaka ya unga wa shayiri kiasi cha sehemu ya kumi ya efa + 5:15 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. kwa niaba ya mkewe. Huyo mwanaume kamwe asimimine mafuta juu ya huo unga wala asiweke uvumba juu yake, kwa sababu ni sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu, sadaka ya ukumbusho ili kukumbushia uovu.
Read all of Numbers 5
Cross References
Numbers 5:30au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za Bwana na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.
Song of Solomon 8:6Nitie kama muhuri moyoni mwako, 2 kama muhuri kwenye mkono wako; 1 kwa maana upendo una nguvu kama mauti, 2 wivu wake ni mkatili kama kuzimu. 1 Unachoma kama mwali wa moto, 2 kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa. 1
1 Corinthians 10:22Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye? 1 Fanyeni Yote Kwa Utukufu Wa Mungu
This Verse In Other Editions
Study Numbers 5:14