Numbers 5:13
kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine, tendo hili likafichika kwa mumewe na unajisi wake usigundulike (kwa kuwa hakuna ushahidi dhidi yake, naye hakukamatwa katika tendo hilo),
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Nena na Waisraeli uwaambie: ‘Ikiwa mke wa mtu amepotoka na si mwaminifu kwa mumewe,
Cross References
Leviticus 18:20“ ‘Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi.
Proverbs 7:18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; 2 tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! 1
Proverbs 30:20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, 2 hula akapangusa kinywa chake na kusema, 2 ‘Sikufanya chochote kibaya.’ 1