Numbers 5:21
hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “ Bwana na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati Bwana atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 14:24Basi watu wa Israeli walikuwa katika dhiki siku ile, kwa sababu Sauli alikuwa amewafunga watu kwa kiapo, akisema, “Alaaniwe mtu yeyote ambaye atakula chakula kabla ya jioni, kabla sijalipiza kisasi juu ya adui zangu!” Kwa hiyo hakuna mtu yeyote katika jeshi aliyeonja chakula.
Nehemiah 10:29basi hawa wote wanajiunga na ndugu zao na wakuu wao, na kujifunga kwa laana na kwa kiapo kufuata Sheria ya Mungu iliyotolewa kupitia kwa Mose mtumishi wa Mungu, na kutii kwa uangalifu amri zote, maagizo na sheria za Bwana, Bwana wetu.
Isaiah 65:15Mtaliacha jina lenu 2 kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; 1 Bwana Mwenyezi atawaua ninyi, 2 lakini watumishi wake atawapa jina jingine. 1
Matthew 26:74Ndipo Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui mtu huyo!” Papo hapo jogoo akawika.