The Bible Software
bible.softwareHesabuHesabu 5 › Hesabu 5:22

Hesabu 5:22

Maji haya yaletayo laana na yaingie ndani ya mwili wako ili tumbo lako livimbe na paja lako lipooze.” + 5:22 Paja lipooze hapa ina maana ya kuwa tasa au kuharibu mimba. “ ‘Kisha mwanamke atasema, “Amen. Iwe hivyo.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And this water that causeth the curse shall go into thy bowels, to make thy belly to swell, and thy thigh to rot: And the woman shall say, Amen, amen.

In Context

21hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “ Bwana na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati Bwana atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba.

23“ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu.

Read all of Hesabu 5

Cross References

Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Job 31:39kama nimekula mazao yake bila malipo, 2 au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 1

Psalms 41:13Msifuni Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Amen na Amen.

Psalms 89:52Msifuni Bwana milele! Amen na Amen.

Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1

John 3:3Yesu akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hesabu 5:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hesabu 5:21Hesabu 5Hesabu 5:23 →