Numbers 5:31
Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then shall the man be guiltless from iniquity, and this woman shall bear her iniquity.
In Context
Cross References
Leviticus 20:17“ ‘Ikiwa mtu anamwoa dada yake, binti aliyezaliwa na baba yake au mama yake, nao wakakutana kimwili, ni aibu. Lazima wakatiliwe mbali machoni pa watu wao. Huyo mwanaume amemwaibisha dada yake, hivyo atawajibika kwa ajili ya uovu huo.
Psalms 37:6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, 2 na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 1
Romans 2:8Lakini kwa wale watafutao mambo yao wenyewe na wale wanaokataa kweli na kuzifuata njia mbaya, kutakuwa na ghadhabu na hasira ya Mungu.