Romans 2:8
Lakini kwa wale watafutao mambo yao wenyewe na wale wanaokataa kweli na kuzifuata njia mbaya, kutakuwa na ghadhabu na hasira ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kutakuwa na taabu na dhiki kwa kila mmoja atendaye maovu, Myahudi kwanza na mtu wa Mataifa pia,
Cross References
Psalms 90:11Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? 2 Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa 2 kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako. 1
Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1
John 3:18Yeyote amwaminiye hahukumiwi, lakini asiyeamini amekwisha kuhukumiwa, kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Romans 6:17Lakini Mungu ashukuriwe kwa kuwa ninyi ambao kwanza mlikuwa watumwa wa dhambi, mmekuwa watii kutoka moyoni kwa mafundisho mliyopewa.
Romans 10:16Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
1 Corinthians 11:16Kama mtu anataka kubishana juu ya jambo hili, sisi wala makanisa ya Mungu hatutambui desturi nyingine. 1 Matumizi Mabaya Ya Meza Ya Bwana