Numbers 5:7
na ni lazima atubu dhambi aliyoifanya. Ni lazima atoe malipo kamili kwa ajili ya kosa lake, aongeze sehemu ya tano juu ya malipo hayo na kutoa yote kwa mtu aliyemkosea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 5:5“ ‘Wakati mtu yeyote atakapokuwa na hatia katika mojawapo ya haya, lazima akiri ni kwa njia gani ametenda dhambi,
Leviticus 5:16Ni lazima alipe kwa yale aliyoshindwa kufanya kuhusu vitu vitakatifu, kwa kuongeza sehemu ya tano ya thamani ile na kuitoa yote kwa kuhani, ambaye atamfanyia upatanisho kwa huyo kondoo dume kama sadaka ya dhambi, naye atasamehewa.
Leviticus 6:5au chochote alichokuwa amekiapia kwa uongo. Lazima akirudishe kikamilifu, na aongeze sehemu ya tano ya thamani yake, vyote ampe mwenye mali siku ile anapeleka sadaka yake ya hatia.
Leviticus 26:40“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Proverbs 28:13Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, 2 bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema. 1