Numbers 6:26
Bwana akugeuzie uso wake 2 na kukupa amani.” ’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD lift up his countenance upon thee, and give thee peace.
In Context
25Bwana akuangazie nuru ya uso wake 2 na kukufadhili; 1
27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Cross References
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Psalms 37:37Watafakari watu wasio na hatia, 2 wachunguze watu wakamilifu, 2 kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 1
Psalms 44:3Sio kwa upanga wao waliipata nchi, 2 wala si mkono wao uliwapatia ushindi; 1 ilikuwa ni kitanga cha mkono wako wa kuume, 2 na nuru ya uso wako, 2 kwa kuwa uliwapenda. 1
Isaiah 26:3Utamlinda katika amani kamilifu 2 yeye ambaye moyo wake ni thabiti 2 kwa sababu anakutumaini wewe. 1
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Luke 2:14“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, 2 na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”