Numbers 6:7
Hata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa taratibu za ibada kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa kipindi chochote cha kujitenga kwa ajili ya Bwana hatakaribia maiti.
8Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa Bwana.
Cross References
Leviticus 21:1Bwana akamwambia Mose, “Sema na makuhani, wana wa Aroni, uwaambie: ‘Kamwe kuhani asijitie unajisi kwa utaratibu wa kiibada kwa ajili ya mtu wake yeyote anayekufa,
Numbers 9:6Lakini baadhi yao hawakuweza kuadhimisha Pasaka siku ile kwa sababu walikuwa najisi kwa taratibu za kiibada kwa ajili ya kugusa maiti. Kwa hiyo wakamwendea Mose na Aroni siku ile ile,