The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 6 › Numbers 6:8

Numbers 6:8

Kwa kipindi chote cha kujitenga kwake yeye ni wakfu kwa Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All the days of his separation he is holy unto the LORD.

In Context

7Hata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa taratibu za ibada kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake.

9“ ‘Kama mtu yeyote akifa ghafula karibu naye, atakuwa ametiwa unajisi nywele zake alizoziweka wakfu, hivyo ni lazima anyoe nywele zake siku ya utakaso wake, yaani siku ya saba.

Read all of Numbers 6

Cross References

1 Samuel 1:27Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba.

2 Corinthians 6:17“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, 2 mkatengwe nao, 4 asema Bwana. 1 Msiguse kitu chochote kilicho najisi, 2 nami nitawakaribisha.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 6:7Numbers 6Numbers 6:9 →