bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:11
Numbers 7:11
Kwa maana Bwana alikuwa amemwambia Mose, “Kila siku kiongozi mmoja ataleta sadaka yake ili kuwekwa wakfu madhabahu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD said unto Moses, They shall offer their offering, each prince on his day, for the dedicating of the altar.
In Context
10Wakati madhabahu yalitiwa mafuta, viongozi walileta sadaka zao kwa ajili ya kule kuwekwa wakfu kwake na kuziweka mbele ya madhabahu.
12Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda.
Read all of Numbers 7
Cross References
1 Corinthians 14:40Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:11