Numbers 7:23
maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Suari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
24Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.
Cross References
Leviticus 7:11“ ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya amani ambayo mtu aweza kuileta kwa Bwana:
Proverbs 7:14“Nina sadaka za amani nyumbani; 2 leo nimetimiza nadhiri zangu. 1