bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:24
Numbers 7:24
Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the third day Eliab the son of Helon, prince of the children of Zebulun, did offer:
In Context
23maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Suari.
25Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:9kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:24