bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:36
Numbers 7:36
Siku ya tano Shelumieli mwana wa Surishadai, kiongozi wa watu wa Simeoni, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the fifth day Shelumiel the son of Zurishaddai, prince of the children of Simeon, did offer:
In Context
35maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Elisuri mwana wa Shedeuri.
37Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:6kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:36