Numbers 8:2
“Sema na Aroni umwambie, ‘Wakati utakapoziweka zile taa saba, zinatakiwa kuangaza eneo lililo mbele ya kinara cha taa.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 37:18Matawi sita yalitokeza kuanzia ule ufito wa katikati wa kinara cha taa: matawi matatu upande mmoja na matatu upande mwingine.
Exodus 39:37kinara cha taa cha dhahabu safi, safu zake za taa pamoja na vifaa vyake vyote pamoja na mafuta kwa ajili ya taa;
Leviticus 24:1Bwana akamwambia Mose,
Psalms 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu 2 na mwanga katika njia yangu. 1
Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
John 1:9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.