John 1:9
Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That was the true Light, which lighteth every man that cometh into the world.
In Context
8Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.
10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua.
Cross References
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
John 1:4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.
John 6:32Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, si Mose aliyewapa mikate kutoka mbinguni, bali Baba yangu ndiye anawapa mkate wa kweli kutoka mbinguni.
John 12:46Mimi nimekuja kama nuru ulimwenguni, ili kwamba kila mtu aniaminiye asibaki gizani.
John 15:1“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.
1 John 1:8Kama tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe wala kweli haimo ndani yetu.