bible.software › Numbers › Numbers 9 › Numbers 9:19
Numbers 9:19
Wakati wingu lilipobaki juu ya Maskani kwa muda mrefu, Waisraeli walitii amri ya Bwana nao hawakuondoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the cloud tarried long upon the tabernacle many days, then the children of Israel kept the charge of the LORD, and journeyed not.
In Context
18Kwa amri ya Bwana Waisraeli waliondoka, na kwa amri yake walipiga kambi. Kwa muda wote wingu liliposimama juu ya Maskani, Waisraeli walibaki wamepiga kambi.
20Wakati mwingine wingu lilikuwa juu ya Maskani kwa siku chache tu; kwa amri ya Bwana wangelipiga kambi na kisha kwa amri yake wangeliondoka.
Read all of Numbers 9
Cross References
Exodus 40:37lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka.
Numbers 3:8Watatunza samani zote za Hema la Kukutania, wakitimiza wajibu wa kuhudumia Waisraeli kwa kufanya kazi ya Maskani.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 9:19