Numbers 9:22
Ikiwa wingu lilikaa juu ya Maskani kwa siku mbili au mwezi au mwaka, Waisraeli wangebaki wamepiga kambi na hawakuondoka; lakini lilipoinuka, wangeondoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 40:16Mose akafanya kila kitu sawa kama vile Bwana alivyomwagiza.
Numbers 1:54Waisraeli walifanya yote haya sawasawa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Numbers 9:17Wakati wowote wingu lilipoinuka kutoka juu ya Hema, nao Waisraeli waliondoka; mahali popote wingu liliposimama, Waisraeli walipiga kambi.
Deuteronomy 1:6Bwana Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.
Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1
Psalms 73:24Unaniongoza kwa shauri lako, 2 hatimaye utaniingiza katika utukufu. 1