Numbers 1:54
Waisraeli walifanya yote haya sawasawa kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Israel did according to all that the LORD commanded Moses, so did they.
In Context
Cross References
Exodus 23:21Mtamtii na kusikiliza kile anachokisema. Usiasi dhidi yake; hatakusamehe uasi wako, kwa maana Jina langu limo ndani yake.
Exodus 39:43Mose akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Mose akawabariki.
Exodus 40:32Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Numbers 2:34Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kila kitu Bwana alichomwamuru Mose. Hivyo ndivyo walivyopiga kambi chini ya alama zao, pia hivyo ndivyo walivyoondoka, kila mmoja akiwa na ukoo wake na jamaa yake.
Numbers 9:5nao wakafanya hivyo kwenye Jangwa la Sinai wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. Waisraeli wakafanya kila kitu kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.
Numbers 36:10Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwamuru Mose.