Philemon 1:4
Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I thank my God, making mention of thee always in my prayers,
In Context
3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 1 Shukrani Na Maombi
5kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Yesu na upendo wako kwa watakatifu wote.
Cross References
Ephesians 1:16sijaacha kumshukuru Mungu kwa ajili yenu, nikiwakumbuka katika maombi yangu.
Colossians 1:3Siku zote tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, tunapowaombea ninyi,
2 Thessalonians 1:3Ndugu, imetubidi kumshukuru Mungu kwa ajili yenu siku zote, kama ulivyo wajibu wetu, kwa sababu imani yenu inakua zaidi na zaidi na upendo wa kila mmoja wenu alio nao kwa mwenzake unazidi kuongezeka.