Philemon 1:3
Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo. 1 Shukrani Na Maombi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Grace to you, and peace, from God our Father and the Lord Jesus Christ.
In Context
2kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kanisa lile likutanalo nyumbani mwako:
4Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,
Cross References
Romans 1:7Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Maombi Na Shukrani
Ephesians 1:2Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 1 Baraka Za Kiroho Katika Kristo Yesu