Wafilipi 1:14
Kwa sababu ya vifungo vyangu, ndugu wengi katika Bwana wametiwa moyo kuhubiri neno la Mungu kwa ujasiri zaidi na bila woga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Luke 1:74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, 2 tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 1
Acts 4:23Punde Petro na Yohana walipoachiliwa, walirudi kwa waumini wenzao wakawaeleza waliyoambiwa na viongozi wa makuhani na wazee.
Ephesians 3:13Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu. 1 Maombi Ya Paulo Kwa Waefeso
Philippians 1:7Ni haki na ni wajibu wangu kufikiri hivi juu yenu nyote, kwa sababu ninyi mko moyoni mwangu. Ikiwa nimefungwa au nikiwa ninaitetea na kuithibitisha Injili, ninyi nyote mnashiriki neema ya Mungu pamoja nami.
Colossians 4:4Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena.
1 Thessalonians 2:2kama vile mjuavyo, tulikuwa tumeteswa na kutukanwa huko Filipi, lakini hata hivyo, kwa msaada wa Mungu wetu, tulikuwa na ujasiri wa kuwaambia Injili ya Mungu ingawa kulikuwa na upinzani mkubwa.