Wafilipi 2:10
ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, 2 la vitu vya mbinguni, na vya duniani, 2 na vya chini ya nchi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, 2 na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 1
Cross References
Genesis 41:43Akampandisha katika gari lake la farasi kama msaidizi wake, watu wakatangulia wakishangilia, wakisema, “Fungueni njia!” Ndivyo Farao alivyomweka Yosefu kuwa msimamizi wa nchi yote ya Misri.
Matthew 12:40Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi + 12:40 Nyangumi ni samaki mkubwa sana. kwa siku tatu, usiku na mchana, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika moyo wa nchi siku tatu, usiku na mchana.
Matthew 28:18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Romans 11:4Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
Ephesians 1:10ili yapate kutimizwa wakati mkamilifu utakapowadia, yaani, kuvitia vitu vyote vya mbinguni na vya duniani pamoja, chini ya kiongozi mmoja, ndiye Kristo.
Ephesians 4:9(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia? + 4:9 Pande za chini sana za dunia hapa maana yake Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu.