Philippians 2:19
Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 1 Paulo Amsifu Timotheo
20Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.
Cross References
Jeremiah 17:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, 2 ategemeaye mwenye mwili 2 kwa ajili ya nguvu zake, 1 ambaye moyo wake 2 umemwacha Bwana. 1
Romans 15:12Tena Isaya anasema, 1 “Shina la Yese litachipuka, 2 yeye atakayeinuka ili kutawala juu ya mataifa. 1 Watu wa Mataifa watamtumaini.”
1 Corinthians 4:17Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu njia za maisha yangu katika Kristo Yesu, ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha katika kila kanisa.
Ephesians 6:21Tikiko, aliye ndugu mpendwa na mtumishi mwaminifu katika Bwana, atawaambia kila kitu, ili pia mpate kujua hali yangu na kile ninachofanya sasa.
Philippians 2:23Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa.
Colossians 4:8Nimemtuma kwenu kwa madhumuni haya ili mpate kufahamu hali yetu, na pia awatie moyo.