The Bible Software
bible.softwarePhilippiansPhilippians 2 › Philippians 2:18

Philippians 2:18

Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami. 1 Paulo Amsifu Timotheo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the same cause also do ye joy, and rejoice with me.

In Context

17Lakini hata kama nikimiminwa kama sadaka ya kinywaji kwenye dhabihu na huduma itokayo katika imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote.

19Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu.

Read all of Philippians 2

Cross References

Ephesians 3:13Kwa hiyo, nawaomba msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, hayo ni utukufu wenu. 1 Maombi Ya Paulo Kwa Waefeso

Philippians 4:4Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Philippians 2:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Philippians 2:17Philippians 2Philippians 2:19 →